Skip to main content
Skip to main content

Mamlaka ya Jaji Mkuu Koome yazua mvutano kisheria

  • | KTN News
    867 views
    Duration: 4:01
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Mvutano wa kisheria umeibuka kati ya majaji wa Mahakama Kuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dorcas Oduor, na wakili Nelson Havi, kuhusu uhalali wa Jaji Mkuu Martha Koome kuteua jopo la majaji watatu kusikiliza kesi inayomhusu binafsi. Havi amepinga mamlaka ya Koome katika suala hili, akisema kuna mgongano wa maslahi, huku majaji Charles Kariuki, Bahati Mwamuye na Lawrence Mugambi wakisisitizwa kuwa huru na wenye uwezo wa kusikiliza kesi hiyo. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews