Mamlaka ya kukadiria ubora wa bidhaa yasema iko macho

  • | Citizen TV
    24 views

    Katika msimu huu wa upanzi, Mamlaka ya Kukagua Ubora wa Bidhaa (KEBS) imesema imeweka mikakati thabiti kuhakikisha kuwa pembejeo zinazotumiwa na wakulima zinakidhi viwango vya ubora vilivyowekwa