Mamlaka ya SHA imechukua rasmi usukani wa afya ya umma

  • | Citizen TV
    467 views

    Mamlaka ya afya ya SHA hii leo imechukua rasmi usukani wa bima ya afya ya umma, ikitoa ahadi ya kusawazisha huduma za matibabu humu nchini. Akihudhuria hafla ya uzinduzi katika kaunti ya Kakamega hii leo, waziri wa afya Dkt. Debora Barasa aliwarai wakenya zaidi kujisajili kwenye mfumo huo ambao sasa umewasajili watu milioni mbili nukta tatu.