Mamlaka ya ujenzi wa barabara kuu yapanua kituo cha uzani Busia

  • | Citizen TV
    292 views

    Hatua ya mamlaka ya ujenzi wa Barabara kuu nchini KENHA ya kupanua kituo cha kupima uzani wa malori ya kubeba mizigo katika eneo la Korinda mjini Busia kumepunguza kwa kiwango kikubwa msongamano wa malori ya masafa marefu.