Skip to main content
Skip to main content

Maonesho ya utengenezaji bidhaa yaendelea Nairobi

  • | KBC Video
    32 views
    Duration: 1:21
    Wamiliki wa biashara ndogondogo na za kadri nchini Kenya wametakiwa kujikuza kupitia majadiliano ya ana kwa ana ambayo yanaweza kuboresha biashara zao.Akizungumza wakati wa tamasha ya maonesho ya utengenezaji bidhaa ya Changamka, mkurugenzi wa Harriet Botanicals ambaye pia ni mwenyekiti wa kitengo cha biashara ndogondogo na za kadri katika Chama cha Watengenezaji bidhaa humu Nchini (KAM), Harriet Chebet, alisifia jukwaa hilo akisema limewapa wajasiriamali na watengenezaji bidhaa nafasi ya kutagusana moja kwa moja na wateja na kuongeza tija katika uzalishaji wao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News