Mapango ya barafu ya kuvutia Uswisi.

  • | BBC Swahili
    266 views
    Mapango ya barafu ya kuvutia ya Glacier huko Uswisi. Tazama muonekano nadra wa mapango ya barafu ya muda mfupi ambayo ni hatari pia huko mashariki mwa Uswisi. Mapango haya yanatokana na barafu, na kuta zake zina muonekano wa kuvutia. Hali ya baridi kali huwaruhusu wageni kutembea ndani ya baadhi ya mapango haya lakini katika hali ya joto, mapango haya huyeyuka m na kuyafanya kuwa hatari. #bbcswahili #utalii #ulaya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw