Maradhi ya akili yahusishwa na visa vya mauaji ya wanawake

  • | Citizen TV
    70 views

    Wataalamu wa afya ya akili wametaka vita dhidi ya magonjwa ya akili vipewe kipaumbele kwani yanahusishwa na ongezeko la mauaji ya wanawake nchini pamoja na visa vya kujitoa uhai . Kulingana na afisa mkuu wa Chiromo Hospital Group, daktari Vincent Hongo, pana haja ya kuwa na sheria ya kuangazia afya ya akili kwa kina.