Maria Sarungi asimulia jinsi alivyotekwa Kenya

  • | BBC Swahili
    39,123 views
    Mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi amehusisha tukio la kutekwa kwake nchini Kenya na ukosoaji wake wa serikali ya Tanzania. - Akizungumza na BBC siku moja baada ya kuachiwa, alisema watekaji hao walimuuliza ikiwa anahofia kuvushwa upande wa pili wa mpaka. Maria ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, na ameishutumu serikali yake kwa kurudisha "udhalimu" nchini humo. - Amezungumza na mwandishi wa BBC Peter Mwangangi, na alianza kwa kueleza kuhusu utekaji huo uliotokea jana Jumapili. - Serikali ya Tanzania haijazungumzia kisa hiki hadi kufikia sasa - - #bbcswahili #tanzania #siasa #uongozi #kenya #mwanaharakati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw