Mashindano ya kimatiafa ya roboti

  • | K24 Video
    7 views

    Ndoto ya wasichana wa shule ya upili ya Mbaikini huko mwala kaunti ya Machakos kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya utumizi wa roboti ingali hai licha ya kukosa pesa za kugharamia safari. Wanafunzi hao watatu wanastahili kusafiri hadi uturuki kwa mashindano hayo mwezi wa Novemba mwaka huu baada ya kuibuka wa kwanza katika mashindano mengine ya kitaifa yaliyoandaliwa kaunti ya nairobi wiki jana.