Mashindano ya kutunza mazingira na chemchemi Kajiado

  • | Citizen TV
    40 views

    Wafugaji kutoka kundi la malisho la Olgulului Kaunti ya Kajiado wametuzwa kwa kuwa bora zaidi kwa kuweka mipangilio bora ya kuwalisha mifugo, kutunza mazingira na kuhifadhi zehemu ya maji