Mashindano ya Sunshine Development Tour yazinduliwa,

  • | TV 47
    4 views

    Sunshine Tour imeandikisha mkataba na kampuni ya IMG Kenya.

    Wachezaji wa kulipwa, limbukeni nchini kushiriki michuano kila mara.

    Washiriki watashindania zawadi ya pesa kwa kila shindano.

    Mashindano haya yatakuwa ya raundi 15 kila msimu.

    Shindano la mchujo kufanyika wikendi hii katika uwanja wa Windsor.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __