Mashindano Ya WRC Safari Rally Yaanza Rasmi Jijini Nairobi

  • | TV 47
    25 views

    Mashindano Ya WRC Safari Rally Yaanza Rasmi Jijini Nairobi

    Mashindano ya dunia ya magari ya Safari Rally yalizinduliwa rasmi alhamisi asubuhi na Rais William Ruto katika ukumbi wa City Hall jijini Nairobi kabla ya kuelekea Naivasha, kaunti ya Nakuru. Runinga ya TV47, Radio 47 na mitandao yetu ya kijamii itakuletea taarifa zote kwa kina.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __