Mashine za kamari zachomwa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,095 views

    Kadri likizo ya muhula wa pili inavyokaribia, maafisa wa usalama kutoka vitengo mbalimbali katika Kaunti ya Trans Nzoia wameendesha operesheni maalum ya kukusanya na kuteketeza mashine za kamari aina ya Lotto.