- 182,056 viewsDuration: 3:16Raia wa Tanzania wanapiga kura hapo kesho huku mashirika ya haki ya Afrika mashariki yakipinga uhuru na uhaki wa uchaguzi huo. Mashirika matano ya kutetea haki za kibinaadamu na demokrasia yakimkashifu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kushiriki uchaguzi bila upinzani wa kueleweka. Maandalizi ya uchaguzi huo yamekamiliki huku vituo vya kupigia kura vikitarajiwa kufunguliwa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi