Mashirika ya haki yataka sekta zilizogatuliwa ziweke katika kaunti

  • | Citizen TV
    164 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini yamelalama kuwa serikali kuu imeendelea kukataa kugatua huduma zote zinazofaa kusimamiwa na serkali za kaunti ikiwemo afya na hivyo kuathiri utoaji huduma kwa Wakenya. Mashirika hayo yamemtaka rais William Ruto kutimiza ahadi yake aliyotoa baada ya kutwaa uongozi kuwa serkali yake itahakikisha sekta zote zilizogatuliwa zitasimamiwa na kaunti.