- 17,747 viewsDuration: 3:13Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini sasa yanadai kwamba zaidi ya watu 3000 wameuawa nchini Tanzania kufuatia machafuko ya uchaguzi. Makundi hayo yakizua hofu kuwa waliouawa walizikwa kisiri katika kaburi la pamoja. Haya yanajiri huku familia ya mwalimu John Okoth Ogutu aliyeuawa nchini Tanzania ikiendelea kuhangaika wasijue iwapo watapata mwili wake ili kuuzika