'Masikio kwangu yana nguvu kubwa ya kunisaidia'

  • | BBC Swahili
    49 views
    Kutana na kocha wa mpira wa miguu Priver Ngonyani, a ambaye amezaliwa akiwa kipofu amejizolea umaarufu kwenye kijiji anachotoka kutokana na mapenzi yake kwa mchezo wa soka. #bbcswahili #tanzania #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw