Masomo katika shule ya walemavu Samburu yaathirika

  • | Citizen TV
    90 views

    Masomo katika shule moja ya watoto walemavu kaunti ya Samburu yametatizika kwa siku kadhaa, kufuatia mzozo wa umiliki. Ni hali iliyowalazimu maafisa wa wizara ya elimu kuvunja malango ya shule hiyo ili kuruhusu masomo kuendelea. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu