Maswali yaibuka kuhusu upinzani serikalini

  • | Citizen TV
    7,861 views

    Maswali yaibuka kuhusu je ni asali au shubiri kwa viongozi wa upinzani waliopendekezwa kuendesha wizara mbali mbali zilizo na ahadi kuu za serikali ya kenya kwanza. Wizara ambazo kwa wengi zinaonekana kuwa na changamoto kuu na kuwa chanzo cha lindi la maandamano linalogubika taifa kwa sasa.