Matabibu Makueni wagoma

  • | KBC Video
    12 views

    Mamia ya wagonjwa katika hospitali ya matibabu maalum ya Makueni mjini Wote wanateseka kutokana na kucheleweshwa kwa huduma za matibabu huku matabibu wakiendelea kususia kazi. Mgomo huo umetatiza utoaji huduma za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive