Ruto : Kama kuna barabara ya Maumau haitakuwa imekamilishwa 2027, wananchi watajuwa vile watafanya

  • | KBC Video
    96 views

    ZIARA YA RUTO MLIMA KENYA

    Ruto : Si nilisema nitamaliza hizi barabara za Maumau, si mtihani iko 2027, mniulize kuhusu barabara za Maumau siku hiyo, kama kuna barabara ya Maumau haitakuwa imekamilishwa, si wananchi watajuwa vile watafanya. Lakini sasa mnachukua mtihani wa 2027, mnaleta sahi mwaka wa 2025