5,038 views
Duration: 3:26
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Aliyekuwa Waziri wa Usalama, Dkt. Fred Matiang’i, amepuuza madai yanayosema kuna migawanyiko ndani ya muungano wa upinzani unaojumuisha wanasiasa wakuu kama Kalonzo Musyoka, Rigathi Gachagua, Martha Karua, miongoni mwa wengine. Hili linajiri baada ya Matiang’i kukosekana kwenye mikutano kadhaa ya kisiasa huku akionekana kujitenga katika kampeni.
Akizungumza Nakuru, Matiang’i aliwataka viongozi wa Kenya Kwanza wasiwe vikwazo kwa kizazi kipya cha wapiga kura, akisisitiza umuhimu wa vijana kujiandikisha na kushiriki kwenye uchaguzi ujao. Watu wanafuatilia kisiasa wanasubiri kuona ni nafasi gani itakayochukuliwa na Matiang’i kwenye siasa za kitaifa. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews