| MATUKIO 2024 | Umaarufu wa Mwengi Mutuse

  • | Citizen TV
    4,873 views

    Amejipatia nafasi kwenye historia ya nchi kama mbunge wa kwanza aliyewasilisha hoja bungeni na kufanikiwa kumbandua ofisini naibu rais. Mbunge wa Kibwezi Mwengi amepata sifa na uhasama tangu alipofanikiwa kumtimua aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua. Kwa mara ya kwanza, mutuse anazunguza na melita oletenges kuhusu kichocheo, pandashuka na kejeli alizokabiliana nazo wakati wa mchakato huo.