Matumizi ya usafiri serikalini yabugia bilioni 3.5

  • | Citizen TV
    528 views

    Ripoti ya Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakango, imeanika wazi jinsi idara za serikali zimetumia shilingi bilioni 3.5 kwa usafiri pekee katika kipindi cha miezi minne tu. Ripoti hiyo imefichua kuwa wabunge ndio wanaopenda safari wakitumia shilingi bilioni moja kwa usafiri kwa kipindi hicho.