MAUAJI TATA YAGANEK BOMET

  • | Citizen TV
    761 views

    Polisi katika kata ndogo ya Sotik wanachunguza maujai ya mzee wa kijiji ya Yaganek ambaye ni mwendeshaji wa bodaboda katika eneo hilo

    Kifo chake ilitokana na kudungwa kwa bisibisi na kuanguka katika barabara Bomet kwenda Kaplong . Naibu wa chifu aliyejaribu kuatatua mzozo huo alijeruhiwa na kupelekwa katika hospitali ya Kaplong. Mshukiwa anazuiliwa katika kituo cha polisi ya Sotik akingoja kufikishwa mahakamani Jumatatu ijayo.