Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya Mwanafunzi Njoro umepatikana Barabarani

  • | Citizen TV
    7,358 views
    Duration: 57s
    Wakaazi katika kijiji cha Sunrise eneo bunge la Njoro kaunti ya Nakuru wamepigwa na butwaa kufuatia mauaji ya kijana wa umri wa miaka kumi na minne ambaye mwili wake ulipatikana umetupwa kando ya barabara.