Mauaji ya Wazee kwa shutuma za uchawi Kilifi,Kenya

  • | BBC Swahili
    1,001 views
    Takriban mzee mmoja huuawa kila wiki kwa shutuma za kuitwa mchawi huko pwani ya Kilifi nchini Kenya. BBC Africa Eye inachunguza sababu halisi za mauaji haya ya kikatili na kufichua kwamba wengi wanafanyiwa ukatili huu na watu hasa ambao wanapaswa kuwalinda ikiwezo watu wa familia zao wenyewe. Kuna matukio ambayo yanaweza kukuhuzunisha #bbcswahili #kenya #afrikaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw