Maudhui ya ngono ya wasichana kwenye TikTok nani anafaidika?

  • | BBC Swahili
    23 views
    Kutokana na uwepo wa video nyingi za kuburudisha na vichekesho kadha wa kadha, haishangazi kuona kwamba TikTok inapendwa na vijana nchini Kenya. Pia ni njia moja wapo ya wao kujipatia pesa kupitia kipengele cha kuruka mubashara na kuzawadiana zawadi mbalimbali. Lakini kuna upande mbaya zaidi, ambapo wasichana wadogo wenye umri wa miaka 15 - wanauza maudhui ya ngono wanaporuka mubashara, huku wengine wakiajiriwa na ‘madalali wa kidijitali'. BBC Africa Eye inachunguza unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana na ni nani anafaidika? Unaweza kutazama makala hii kwa urefu zaidi hapa hapa Youtube ya BBCSwahili #bbcswahili #tiktok #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw