Mbegu Mpya ya Mbaazi Makueni

  • | Citizen TV
    401 views

    Shirika la utafiti wa mimea na mifugo KARLO linawataka wakaazi wa maeneo kame kupanda mbegu mpya ya mbaazi inayoweza kukomaa kwa haraka na kufanya vyema katika maeneo kama hayo. Zao hili likitarajiwa kusaidia pakubwa kukabiliana na njaa haswa maeneo yaliyo kame.