Mbinu za kukusanya madeni na masharti yake

  • | K24 Video
    33 views

    Kenya inatarajia kupanga kanuni zaidi kudhibiti watoa mkopo wa kidijitali na watoa mkopo wasiopokelea amana kupitia mapendekezo ya maboresho katika muswada wa sheria za biashara wa mwaka 2024. muswada huu, ulioletawa na wizara ya uwekezaji, biashara, na viwanda, unalenga kuwalazimisha watoa mkopo hawa kuwa chini ya uangalizi wa benki kuu ya Kenya, na kuweka sheria za kulinda haki za wateja.