Mbio za WRC Safari Rally zimeng'oa nanga rasmi leo asubuhi nje ya jumba la City Hall jijini Nairobi

  • | TV 47
    86 views

    Mbio za WRC Safari Rally zimeng'oa nanga rasmi leo asubuhi nje ya jumba la City Hall jijini Nairobi.

    Mashindano haya yamevutia zaidi ya madereva 50 wa humu nchini na wa kigeni.

    Watashindana hadi siku ya jumapili katika kaunti za Nairobi na Nakuru.

    Mbio hizi zilianzishwa rasmi na Rais William Ruto.

    #TV47Matukio #WRCSafariRallyKenya2025 Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __