Mbunge Babu Owino aongoza kinyang'anyiro cha Ugavana Nairobi

  • | TV 47
    482 views

    Mbunge Babu Owino aongoza kinyang'anyiro cha Ugavana Nairobi.

    Owino ameongoza kundi hilo kwa asilimia 38 ya wapiga kura.

    Kura hiyo ilichukua sampuli ya wapiga kura 4,000 waliojiandikisha.

    Dennis Waweru amekuwa katika nafasi ya pili kwa asilimia 31.

    Gavana aliye madarakani Johnson Sakaja ameambulia asilimia 14.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __