Mbunge Ndindi Nyoro miongoni mwa waliokosa kusaini hoja inayolenga kumtimua naibu rais

  • | Citizen TV
    6,818 views

    Wabunge 291 walitia saini hoja inayolenga kumtimua naibu Rais Rigathi Gachagua ofisini, wakisema wamechoshwa naye. Gachagua alisalia na takriban wabunge 50 tu waliomuunga mkono, mbunge wa kiharu ndindi nyoro akiwa miongoni mwa wale waliokosa kutia saini hoja hiyo.