Serikali ya kaunti ya Machakos yawapa wanafunzi wa chekechea maziwa ya bure

  • | Citizen TV
    124 views

    Usajili Wa Wanafunzi Katika Shule Za Chekechea Za Umma Kaunti Ya Machakos Umeendelea Kuongezeka Kwa Kasi Kutokana Na Mpango Wa Serikali Ya Kaunti Hiyo Kusambaza Maziwa Ya Bure Shuleni. Kadhalika Serikali Ya Machakos Imefaulu Kujenga Viti Na Meza Kwa Wanafunzi Zaidi Ya Elfu 40.