Mbunge Paul Abuor akamatwa na makachero kwa tuhuma za ufisadi

  • | Citizen TV
    1,614 views

    Mbunge wa Rongo Paul Mark Odalo alikamatwa na kuzuiliwa katika afisi za tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi -EACC, jijini Nairobi. Mbunge huyo anachunguzwa kuhusiana na madai ya wizi wa shilingi milioni 122 kupitia sakata ya Zabuni kutoka kwa hazina ya NG-CDF