Mbunge wa Kangundo aikosoa serikali kuhusu utekaji nyara

  • | Citizen TV
    677 views

    Mbunge wa Kangundo Fabian Kyule Muli amelaani vitendo vya utekaji nyara nchini. Mbunge huyo alitoa wito kwa maafisa wa upelelezi DCI kuchukua hatua za haraka kutanzua kitendawili cha utekaji nyara nchini.