Skip to main content
Skip to main content

Mbunge wa Saboti Caleb Amisi ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza kuhusu mradi wa Nyota

  • | Citizen TV
    310 views
    Duration: 1:30
    Siku chache baada ya Rais William Ruto kuzindua rasmi Mradi wa Nyota, Mbunge wa Saboti, Caleb Amisi, ameikosoa serikali ya Kenya Kwanza akidai kuwa mradi huo haukufanywa kwa nia ya kuwanufaisha vijana kama inavyodaiwa, bali ni mbinu ya kisiasa ya kutafuta umaarufu.