Mechi za ligi ya NSL

  • | Citizen TV
    263 views

    Timu za Migori youth na Mofa zilikabana koo na kutoka sare ya moja moja kwenye debi ya maziwa makuu katika ligi ya NSL.