Methali I Ukishindana na ndovu kunya utapasuka msamba

  • | KBC Video
    42 views

    METHALI YA SIKU

    Ukishindana na ndovu kunya utapasuka msamba

    Methali hii inatuonya dhidi ya kujitosa kwenye vita au mashindano na watu ambao wana nguvu nyingi kuliko zetu, kwani kufanya hivyo kunaweza kutuletea madhara makubwa. Inasisitiza kumakinika katika kuchagua vita au migogoro utakayoshiriki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive