Mfanyabiashara Yagnesh Devani aachiliwa huru kwenye sakata ya shilingi 7.6B ya bidhaa za petroli

  • | KBC Video
    232 views

    Mfanyabiashara Yagnesh Devani ameachiliwa huru kwenye sakata ya shilingi bilioni 7.6 iliyohusisha bidhaa za petroli. Hakimu wa mahakama ya kushughulikia kesi za ufisadi Harrison Barasa alifahamishwa kwamba afisi ya mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma haina nia ya kuendela na kesi hiyo kutokana na ukosefu wa ithibati na mashahidi. Kesi hiyo ilianza mwaka 2008 kabla ya mfanyibiashara huyo kutorokea nchini Uingereza.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive