Mfanyakazi wa Zimamoto aangukiwa na nyumba.

  • | BBC Swahili
    1,484 views
    Tazama namna askari huyu wa zimamoto alivyoangukiwa na jengo linalowaka moto alipokwenda kutoa msaada kwenye nyumba iliyokuwa ikiungua moto nchini Marekani. Wakati wafanyakazi walipokuwa wakijaribu kuzima moto huo, mlipuko ulisababisha paa la mbele kuanguka, na kumungukia mfanyakazi huyo wa zimamoto. Idara ya Polisi ilisema alipata majeraha madogo lakini anatarajiwa kupata nafuu zaidi. #bbcswahili #ajali #zimamoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw