Mfumo huo pia unalenga kukomesha visa vya ulaghai

  • | Citizen TV
    272 views

    Seriklai ya Makueni imezindua mtandao wa ardhi unaotarajiwa kuboresha huduma za sekta hiyo ya ardhi sawia na kuongeza mapato ya kaunti yanayotoka kwenye ardhi hadi shilingi milioni 170 kwa mwaka