Mfumo wa ajira katika sekta ya utalii wakosolewa

  • | Citizen TV
    108 views

    Utafiti uliofanywa na Wakfu wa zizi umebaini kuwa mifumo ya kutangaza ajira ndiyo kizingiti kikuu kwa vijana kupata kazi katika sekta ya utalii jijini Mombasa