Mgombea mwenza Walz ampongeza Kamala baada ya hotuba ya kukubali Rasmi uteuzi
Katika hotuba yake katika Mkutano wa Wademokratik wa Kitaifa Alhamisi (August 22), mgombea urais Makamu wa Rais Kamala Harris ameahidi kuwa Marekani itakuwa na jeshi lenye nguvu zaidi chini ya urais wake.
Harris ameongoza kuwa atakuwa siku zote anawajali wanajeshi wa Marekani na kuwaenzi wao na familia zao.
Katika usiku wa mwisho, uliokuwa unasubiriwa zaidi wa mkutano huo, Harris, mwenye umri miaka 59, alikuwa akieleza tena msimamo wake kwa Marekani wakati yeye na Trump wanaingia wiki 11 za mwisho za kampeni zenye ushindani mkali. - Reuters
Video inaonyesha Kamala Harris na Tim Walz wakipongezana wao na familia zao baada ya Makamu wa Rais Harris kutoa hotuba ya kukubali rasmi uteuzi wa Mkutano wa Wademokratik wa Kitaifa kugombea nafasi ya urais wa Marekani. - Reuters
#dnc #harris #voa #walz #mkutano #wademokrat #voa #voaswahili
21 Apr 2025
- Four Kenyans secured millions after their heroics at the oldest marathon in history.
21 Apr 2025
- President Ruto hopes to achieve several key economic milestones from his China trip.
21 Apr 2025
- The dollar sell-off on Monday has many experts worried.
22 Apr 2025
- A little outreach goes a long way in redeeming lives of despised and shunned lot
22 Apr 2025
- Religious leaders say they are only holding Ruto accountable as head of state.
22 Apr 2025
- His tenure is not without challenges amid high expectations from taxpayers.
22 Apr 2025
- Court of Appeal upheld a High Court verdict that his intentional killing of an innocent man was inexcusable.
22 Apr 2025
- The current doctor-to-patient ratio in Kenya is still far below WHO recommendation of one doctor to 1,000 patients.
22 Apr 2025
- Nassir said the most difficult part was not bringing the building down, but the evacuation of 60,000 people.
22 Apr 2025
- Kenya’s hopes of qualifying for the 2025 Toyota Junior Golf World Cup in Japan now rest on the shoulders of seven rising golf stars who were officially flagged off yesterday at the Royal Nairobi Golf Club ahead of the All Africa Junior Team Championship…
22 Apr 2025
- With his storm of tariffs on Chinese goods, US President Donald Trump has torched ties with Beijing and likely wrecked any hope of meeting his counterpart Xi Jinping in the near term, analysts say. Ali Wyne, a senior research and advocacy adviser…
22 Apr 2025
- Pope Francis died of a stroke, causing a coma and "irreversible" heart failure, according to his death certificate released by the Vatican on Monday.
22 Apr 2025
- Nairobi City Thunder (NCT) basketball team has received a major boost ahead of the upcoming Basketball Africa League (BAL) championship, after being assigned a Senegalese NBA G-League player to reinforce the squad. The team is also eyeing continental…