- 1,093 viewsDuration: 1:34Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa vyuo vikuu na wahadhiri UASU na KUSU wamesema kuwa mgomo wao unaendelea hadi serikali iwalipe pesa wanazodai kwa mpigo. Viongozi hao wametoa tangazo hilo baada ya kukosa mwafaka kwenye mkutano wao na serikali. Wahahdhiri wanaidai serikali shilingi bilioni 7.9 kwa mujibu wa mkataba wao wa makubaliano. mgomo huo umeendelea kwa siku 45 sasa huku wanafunzi wakitishia kuandamana kote nchini.