Mgonjwa aeleza changamoto za matibabu ya saratani Zimbabwe

  • | VOA Swahili
    80 views
    Mmoja wa watu aliyeugua ugonjwa wa saratani ya matiti anaeleza changamoto zinazo ikabili sekta ya afya ambapo vituo vya kutibu saratani havina vifaa vya kutosha kuwatibu wagonjwa. Wakati huo huo serikali imetoa tamko kuhusu hatua inazochukua kuboresha huduma hiyo. Ungana na mwandishi wetu akiisoma ripoti iliyotayarishwa na mwandishi VOA, Harare, Columbus Mavhunga. #saratani #matiti #matibabu #miale #uhaba #vifaa #zimbabwe #harare #voa #voaswahili