Migawanyiko ndani ya chama cha ODM inazidi kushika kasi

  • | K24 Video
    476 views

    Migawanyiko ndani ya chama cha (ODM) inazidi kushika kasi huku katibu mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna akiwataka wanachama wanaounga mkono serikali ya rais William Ruto waondoke chamani ili wajiunge na serikali. Sifuna amesema hatakoma kuikosoa serikali kuhusu maovu yake akioneka kumpendekeza kalonzo katika kinyang'anyiro cha urais 2027. Alitoa matamshi haya wakati wa ibada ya kanisa katika eneo la Dagoretti North alipoandamana na kiongozi wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka.