Migogoro katika nchi jirani yaathiri siasa na usalama wa ndani wa Misri

  • | VOA Swahili
    216 views
    Kwa miaka mingi sera ya mambo ya nje ya Misri imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hali ya mambo katika Mashariki ya Kati. Migogoro ndani ya nchi jirani, ambazo mara nyingi hupigwa vita na washirika, zimeathiri siasa na usalama wa ndani wa Misri. Vita vya wenyewe kwa wenyewe na machafuko yameongezeka na kuleta athari kuanzia Iraq, Syria, Lebanon, Israel-Palestine Libya, Sudan kusini na Hata Sudan. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.