Migogoro ya ardhi Transnzoia

  • | Citizen TV
    72 views

    Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanaihimiza serikali kuhakikisha inatekeleza amri za mahakama kuhusiana na kesi za mashamba katika eneo hilo, ili kupunguza uhasama baina ya jamii.