Migori yaweka mikakati ya kudhibiti magonjwa

  • | Citizen TV
    129 views

    Kaunti ya Migori kwa ushirikiano na kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa -CDC- ziweweka mikakati ya kuimarisha huduma za afya kaunti hiyo.